Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hii ni kazi ya AZOV. Urusi wamwshondwa kusonga mbele huko Bakhmut. Matokeo yake wanazungukwa. Kama Wasiporetreat watatekwa wao. Kibao kimegeuka. Hii ni kazi ya 17th Armored Brigade na 3rd Assault Brigade (Ex #Azov) ambao wanawapiga Urusi kutokea kaskazini na kusini Wakutane katikati. Hawa Wagners kazi wanayo mbele ya Azov
View attachment 2531151

Slava Ukrain
 
Ndege ya Urusi Beriev A-50, yenye radar systems imelipuliwa huko Belarus. Ni ndege ya gharama yenye uwezo wa kutrack hadi km 400. Kazi imefanywa na vijana wawili kwa kutumia drones zilizojipenyeza hadi kwenye uwanja wa ndege wa Machulishchy airbase Mkoani Minsk huko Belarus. Na special operation yao waliita "Victory Plan". Tayari vijana hao wameshavuka na Ukraine na wapo sehemu salama. Inakadiliwa gharama yake ni Euro Milioni 330. Wamelipa kisasi kwani Urusi pia ililipua Antonov An-225 Mriya ya Ukraine
View attachment 2531157View attachment 2531158View attachment 2531159

Slava Ukrain
 
HX 8x8 truck ya Ujerumani
20230227_190622.jpg
 
Angalia warusi wanavyo ptatabu Vuhledar
View attachment 2531806
😂😂😂 Hii ni moja ya the best Clip. Jamaa yule hata angeona kikombe cha chai ungeenda kujaribu kama anaweza kuingiza kichwa. 😂😂😂

watu wanajifanya wamekufa ghafla wanageuka kuwa mijusi 😂😂😂

Walivyokurupushwa chini ya kifaru hata ngiri haoni ndani kwa mbio zile. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom