OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Hahahahaaa. Dah! Yan mwuuaji ameona bora afe kwa gongo(Pombe) kuliko risasi. 😀 😀 😀Wagners kadakwa akitoroka na gongo. Ni raia wa Brazil.. Anaomba msamaha asiuawe
View attachment 2549886
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaa. Dah! Yan mwuuaji ameona bora afe kwa gongo(Pombe) kuliko risasi. 😀 😀 😀Wagners kadakwa akitoroka na gongo. Ni raia wa Brazil.. Anaomba msamaha asiuawe
View attachment 2549886
Nilitegemea jibu lako liwe Ndio au Hapana. Don't beat around the bushYapo maeneo mengi yaliyokwisha chukuliwa hiyo Bakhmut haitokua ya kwanza.
Lakini si amekuambia ukweli?Acha kujifanya mjuaji wewe,
Aibu kwa wazazi waliokulea. Akili yako imejaa matusi. Huwezi bishana kwa hoja bila kutukana. Unajiabisha na kujivunjia heshima sana. Naomba usinichafulie thread kwa matusi yako. Katukane huko FacebookUkijua level yangu ya kufikiri inakuongezea nini ?...
tusipangiane cha kuandika kiazi wewe...
Dah! Ukisikia "double impact" ndo hiyo. Jamaa kachoropoka na majeraha kwenye kifaru kilichoangamizwa lakini tena hapo nje dah! wakammalizia na kitu kizito. 💪 💪 💪 🔨
Aibu kwa wazazi waliokulea. Akili yako imejaa matusi. Huwezi bishana kwa hoja bila kutukana. Unajiabisha na kujivunjia heshima sana. Naomba usinichafulie thread kwa matusi yako. Katukane huko Facebook

Ukweli upi huo ?Lakini si amekuambia ukweli?
Usingizi mtamu hadi anaachama
Haya sawa tumekusoma. Karibu sana na usiache kutupostia mwendelezo. Sababu km 2 hata mtoto wa darasa la kwanza anazitembea. Hadi kukuche Bakhmut itakuwa ishazungukwa. Si ni kweli? Hatutukuukizi ramani ya lini, hivyo kuwa na amani