Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

20230331_014427.jpg
 
Urusi walikuwa wanatutisha eti kipindi cha baridi Ukraine itapigika. Mbona haipigiki sasa? Hadi sasa hakuna raia wa Ukraine kafa kwa baridi.. Eti oooh tutawakatia gesi mafuta na ujinga ujinga mwingi walikuwa wanaongea. Kwani Ukraine haina gesi? Haina mafuta? Hahahaaa🤣🤣

Sasa wiki hii vifaa vya Urusi vimeshindwa kwenda Ukraine sababu wamekutana na barafu nyingi huko Urusi Mkoani Rostov. Nilijua Urusi wana mbingu yao ambayo barafu haiwasumbui
 
Urusi ilisema itaiteka Kyiv ndani ya Masaa 72. Hivyo wanajeshi wa Ukriane waweke silaha chini Warudi nyumbani. Lakini sasa hata sijua ni masaa mangapi bado wanapambana kwenye mikoa ya Mpakani. Nini kimewasibu? Mikoa inayopakana na Urusi ndo Vita ipo, mbona hawaji katikati ya Nchi?
View attachment 2571562
Malengo yao mbona yametimia mauripol iko chini ya urusi soleder iko chini ya urusi AZOM ndani ya bakhmuti iko chini ya urusi na mpaka sasa bado wako ndani ya ukraine

Vipi unaweza kutoa link ili wajiridhishe ndugu zako kama alisema ataidhibiti ukraine ndani masaa 72 au ndio maneno ya mdomoni tu yasiyo na tija
 
Yaani iwe lazima kwa vijana wote itasaidia kuondoa changamoto ndogo ndogo kama hizi.
Source: 𝑻𝒆𝒄𝒉𝒏𝒐𝒍𝒐𝒈𝒚 𝒂𝒏𝒅 𝒐𝒓𝒊𝒈𝒊𝒏𝒂𝒍 𝒏𝒆𝒘𝒔

Leopard 2 main battle tank: The engine and navigation

The tank uses a 1,500 HP / 1,100 kW engine. The top speed is slightly lower and caps at 63 kilometers per hour, while the 𝐝𝐫𝐢𝐯𝐢𝐧𝐠 𝐑𝐀𝐍𝐆𝐄 𝐢𝐬 450-500 km (280-310 miles) on a good road, or about 220 km (140 miles) in off-road conditions.
 
Hii ni speed. Sasa vipi urushaji wa bomu kinapiga km ngapi au umbali gani mkuu?
 
Hii ni speed. Sasa vipi urushaji wa bomu kinapiga km ngapi au umbali gani mkuu?
Vizuri
The main gun is fully stabilized. It is compatible with a range of different rounds, including German DM43 APFSDS-T anti-tank projectiles, DM12 High-explosive anti-tank (HEAT) projectiles, and a new-generation DM-53 projectiles designed to take advantage of a longer barrel of the L/55 gun to achieve effective firing 𝐑𝐀𝐍𝐆𝐄 𝐀𝐓 𝐀 𝐃𝐈𝐒𝐓𝐀𝐍𝐂𝐄 𝐎𝐅 𝐔𝐏 𝐓𝐎 5,000 𝐌𝐄𝐓𝐄𝐑𝐒 and the muzzle velocities of over 1,750 m/s.

Source 𝐭𝐞𝐜𝐡𝐧𝐨𝐥𝐨𝐠𝐲 𝐚𝐧𝐝 𝐨𝐫𝐢𝐠𝐢𝐧𝐚𝐥
 
Ukiiweka kwa km maana yake ni km 5.

Naziona ndogo ,ngoja tuendelee kufuatilia ili tujiridhishe zaidi.

Ila yote kwa yote ahsante.
 
Back
Top Bottom