Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Huko Urusi jimbo dagestan nao wameonja joto la jiwe kwa kukosa umeme. Hakuna umeme, hakuna maji, vyakula vya kwenye majofu vinachacha. Soon tutasikia hakuna chakula
 
Angalia Kambi ya Wavamizi kutoka Urusi ilivyotetekezwa kwa cluster ammo huko Kherson Dnipro. Geo located here 46.70810271473755, 32.9462885069146
 
20230815_121842.jpg

Wamevuka Dnipro kuwasaka Wavamizi
 
Back
Top Bottom