Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

The commander of the Black Sea Fleet of the Russian Federation, Admiral Sokolov.
20230925_184630.jpg
 
Najaribu kuwaza wewe jamaa HUU UGONJWA WAKO WA AKILI UTAISHA LINI…. post karibu elf tano umekazana mwenyewe!!…
We jamaa utakua shoga unaliwa na wazungu wa NATO

Nchi za Africa zinaelewa Russia si adui wao ila hao NATO ndo mahalamia,,,, Huu uhalisia huuoni kwene siasa jinsi zinavojiweka mbali….

sasa we ms*ng n shobo zako kwa mabwana zako unahangaika
 
Wewe kama una picha za Ukraine ziweke hapa.
We jamaa utakua shoga unaliwa na wazungu wa NATO
Akiwa shoga kwani wewe unaathirika Vipi??
Nchi za Africa zinaelewa Russia si adui wao ila hao NATO ndo mahalamia
Mahalamia ndiyo nini??? NATO tangu lini imekuwa adui Wa Afrika? Hivi Urusi ndiyo unataka kusema ndiyo rafiki Wa Afrika. Kivipi?
 
Najaribu kuwaza wewe jamaa HUU UGONJWA WAKO WA AKILI UTAISHA LINI…. post karibu elf tano umekazana mwenyewe!!…
We jamaa utakua shoga unaliwa na wazungu wa NATO

Nchi za Africa zinaelewa Russia si adui wao ila hao NATO ndo mahalamia,,,, Huu uhalisia huuoni kwene siasa jinsi zinavojiweka mbali….

sasa we ms*ng n shobo zako kwa mabwana zako unahangaika
Mkuu tulia,huyu ni mtoa taarifa.mjumbe auwawi kama imekuudhi hamia kule kwa wafia warusi.
Niambie kampuni yoyote ya kirusi hapa tanzania inayolipa mishahara mizuri kama makampuni ya nchi za magharibi.
 
Nchi za Africa zinaelewa Russia si adui wao ila hao NATO ndo mahalamia,,,, Huu uhalisia huuoni kwene siasa jinsi zinavojiweka mbali….
Thibitisha huo ukweli wako kwamba urusi ni rafiki wa afrika.
Mnadanganywa na juzi alivyosema amesamehe madeni.jiulize kwa nini alikopesha badala ya kusaidia na kwa nini asamehe kipindi hiki alichotengwa na weupe wenzake?
 
Ila kikosi cha 15th National Guard Brigade cha Ukraine ni noma. Kimeteketeza kikosi kizima cha wavamizi kutoka Urusi
 
8 Russian officers died and 7 were injured.🤣🤣🤣🤣. Ila HIMARS jamani! Warusi walienda kufanyia kikao Kherson kama vile wanajiona wapo kwao Urusi. Mkutano ulihusu jinsi ya kujilinda na counteroffensive. HIMARS ikawanusa ikawapelekea moto. Ilikuwa 19 September 2023
 
Back
Top Bottom