Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Frontline
20231026_053823.jpg
20231026_053916.jpg
20231026_053942.jpg
20231026_054019.jpg
20231026_054054.jpg
 
Vijana wa Moscow hawaamini wanachokiona Frontline. Hadi wanatembelea. Hapo walizidiwa wakataka kukimbia.. Wakapelekewa moto
 
Frontline line. Wakina dada hatari
 
Wanajeshi wa Ukraine wakishangaa silaha wanazotumia wanajeshi wa Urusi huko Frontline
 
Vichwa vya Warusi vikikutana na bomu vinaruka kuliko jiwe la manati
 
Sasa Ukraine kupokea meli za kulinda njia ya kusafirishia nafaka.
20231125_232828.jpg
20231125_232821.jpg
 
Baada ya daraja la Crimea kulipuliwa, sasa Urusi wanaomba msaada wa China kulijenga upya. Angalia kazi nzuri ya Ukraine walivyo lipua daraja
 
Mwanajeshi wa Kujitolea kutoka Brazil akielekezwa jinsi ya kutumia Kifaru aina ya BTR-4 "Bucephal
 
Hivi ndivyo Wavamizi waliingia 18 za Ukraine bila kujua. Walipoanza kutandikwa, Wakarudi kwa Miguu ndani ya dakika mbili tu. Hawakubaki salama
 
Azov kazini. Hawa ni 12th Azov brigade
 
Back
Top Bottom