Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Kumekuwepo na kigugumizi sana katika kulijibu swali hilo.Tunachoshuhudia ni Mrusi kutwangwa kutwa kucha.Yale masaa 72 ya Urusi bado hayajapita??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumekuwepo na kigugumizi sana katika kulijibu swali hilo.Tunachoshuhudia ni Mrusi kutwangwa kutwa kucha.Yale masaa 72 ya Urusi bado hayajapita??
Urusi ilivyodhitiwa na UkrainHuu uzi unahusu nini?
Niga mwenye figa hapa umedanganya ni lini umewaona wanajeshi wa Urusi wanajitapa? Tupe linkYaani Urusi wakidakwa wanakuwa Wapole na wadogo kama piriton. Hutaamini kama ni wale wanaojitapa
View attachment 2885202