Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wakilewa wanatoa fastaaa... he he heee
Nawashauri mnywe shake n' sip ... tamu saana.Kwahiyo wakilewa wanatoa fastaaa... he he heee
HahahaHaha pole kunywa hata kun fu
KhaaaTatizo kama hamlewi mnakuwa wagumu kuachia game
Khaaa
Kumbee... Na ndo sinywi sasa
Tabu gani tenaMumeo atapata tabu sn
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Hiyo hapana aisee
Sasa wewe starehe yako ni nn?Khaaa
Kumbee... Na ndo sinywi sasa
Game zako zitakuwa za ratiba snTabu gani tena
Wewe unaekunywa unapata faida gani zaidi ya kujaza mikojo tumboniHivi msiokunywa mnajisikiaje?
Pesa zenu mnafanyia nini?
Dada ningeshangaa nisingekukuta kwenye huu uzi mamaa wa kungfuHakuna kitu kinaudhi ka wale wanaosema ati twaleta nzi na vinywaji vyetu!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku nilikaa na walevi, wao wakaagiza vyao mi nikaagiza maji makubwa, nilishambuliwa sana, mmoja wao aliniuliza "hivi unafuga samaki, mbona unaagiza maji lita nzima?"
Usingizi tuuuSasa wewe starehe yako ni nn?