Special thread: Wapenda vinywaji visivyo na kilevi (non alcoholic) na changamoto wanazokutana nazo wakikaa na walevi

Special thread: Wapenda vinywaji visivyo na kilevi (non alcoholic) na changamoto wanazokutana nazo wakikaa na walevi

TOFAUTISHA KATI YA MNYWAJI NA MLEVI.
HALAFU MKUU, HV SODA UTAWEZA KUNYWA ZAIDI YA MBILI??
 
Kuna siku nilichekwa mpaka walioko pemben yetu waligeuka kuangalia nini kimewasibu, maana si Kwa cheko ile

Nilichekwa sana.
 
I have had one rule..one rule only any thing written non/alcoholic sinywi
 
Back
Top Bottom