HahahaGame zako zitakuwa za ratiba sn
HahahaDada ningeshangaa nisingekukuta kwenye huu uzi mamaa wa kungfu
Pole ndugu yangu.Hakuna kitu kinaudhi ka wale wanaosema ati twaleta nzi na vinywaji vyetu!!!!
Kiboko yao inabidi uwe na maneno ya kifedhuli tuuKuna siku nilikaa na walevi, wao wakaagiza vyao mi nikaagiza maji makubwa, nilishambuliwa sana, mmoja wao aliniuliza "hivi unafuga samaki, mbona unaagiza maji lita nzima?"
Asante MkuuPole ndugu yangu.
Donatila nakuja inbox tuyajenge, kucheza ni zoezi zuri sanaHabari wadau,
Mimi ni si mnywaji wa vinywaji vyenye kilevi ni mnywaji wa vinywaji visivyo na kilevi kama juice, soda, bavaria, nk. Najua wapo wenzangu ambao nao ni wapenzi wa vinywaji hivyo.
Nikiwa kama mnywaji wa vinywaji visivyo na vilevi hua nakutana na changamoto sana wakati nikitoka na marafiki, wengine hunilazimisha ninywe, wengine hunicheka.
Mara waseme nawajazia nzi kwenye meza zao, mara sasa utaweza kukaa kweli mpaka usiku, utaboereka, onja basi kidogo.
Ajabu ni kuwa napenda sana kucheza muziki, muonekano wangu mimi ni mcheshi,yani ukiniona nacheza utasema huyu kanywa, sioni aibu.
Haya twende kwenye hoja;
Ni kero gani ambayo unakutana nayo wewe usiyekunywa.
Na ni kwa namna gani unaondokana nayo.
Karibuni
MmhMimi sinywi kinywaji chenye kilevi ila kampani yangu kubwa wanapiga masanga, ila sikutani na hizo changamoto wanaheshimu kile nafanya akiwa mgeni kwangu atanishangaa sababu ya muonekano wangu, ni mjanja mjanja hawez amini kama situmii pombe ila maswahiba zangu wanaelewa na nikikosekana katika mitoko yetu huwa wanalalamika hapanogi kabisa.
He he naanzaje kutokukujua sasaHahaha
Unanijua vizuri eeh
We siku hizi shunie akee si jeuri bhana, sasa kwanin hutaki kuamini..Mmh
Sitaki kuamini mie
Kwahiyo ww unavyokula unajaza mavi tumboni?Wewe unaekunywa unapata faida gani zaidi ya kujaza mikojo tumboni
Wewe mcheke tuu, ulinikosa ukaambulia babu Asprin tena kama mchepuko mwenzio akanichukuaDada ningeshangaa nisingekukuta kwenye huu uzi mamaa wa kungfu
HahahaHe he naanzaje kutokukujua sasa
He heHahaha
Hapo chacha
Ahahhah siaminii maka akee kama hutumii kilevi kabisaWe siku hizi shunie akee si jeuri bhana, sasa kwanin hutaki kuamini..
[emoji23] [emoji23]Kwahiyo ww unavyokula unajaza mavi tumboni?
Shunie akee mara ngapi mie nakwambia situmii kinywaji cha kilevi. We ulevi wangu unaujua[emoji23] [emoji85]Ahahhah siaminii maka akee kama hutumii kilevi kabisa