Kwakweli acha tufunike kombe tuHaina mpinzani hii shunie akee..
We tuyaache tu
Na wewe mshipa starehe yako ni niniSawa starehe yako nimeipenda
Mwanaharamu apate kupita.Kwakweli acha tufunike kombe tu
Nimependa hiiMimi sinywi kinywaji chenye kilevi ila kampani yangu kubwa wanapiga masanga, ila sikutani na hizo changamoto wanaheshimu kile nafanya akiwa mgeni kwangu atanishangaa sababu ya muonekano wangu, ni mjanja mjanja hawez amini kama situmii pombe ila maswahiba zangu wanaelewa na nikikosekana katika mitoko yetu huwa wanalalamika hapanogi kabisa.
Halaf hii kila akiniona lazima aniambie mambo za mimi kukulwa na babu [emoji30][emoji30] yaan huwa simuelewi na wakati babu ni shem darling wangu we@bigmindNaona hivyo, tangu lini akakuona na mchepuko wangu!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwanaharamu apate kupita.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifurahisha sana agiza maji mengine nakuja kilipiaKuna siku nilikaa na walevi, wao wakaagiza vyao mi nikaagiza maji makubwa, nilishambuliwa sana, mmoja wao aliniuliza "hivi unafuga samaki, mbona unaagiza maji lita nzima?"
Hahahahaha hupendi adventure?!Muone unanifundisha unyau![emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi napenda music kucheza live band au karaokeNa wewe mshipa starehe yako ni nini
Unapenda live band kama shunie mimi kwahiyo na we pombe hupendi[emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi napenda music kucheza live band au karaoke
Kwakweli mimi pombe situmiagiUnapenda live band kama shunie mimi kwahiyo na we pombe hupendi
Oooh kwahiyo ulevi wako upo chini eenhKwakweli mimi pombe situmiagi
hahaaaaHuyu jamaa ndugu yake na shetani eti? Mwanaume mzima kihele hele kama jike? Utapandwa
AhhaahahahahhaKuna siku nilikaa na walevi, wao wakaagiza vyao mi nikaagiza maji makubwa, nilishambuliwa sana, mmoja wao aliniuliza "hivi unafuga samaki, mbona unaagiza maji lita nzima?"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kidogo sio sanaOooh kwahiyo ulevi wako upo chini eenh
aiseeee kumbe tusiotumia vilevi tuko wengi kiasiMm sinywi kilevi chochote hua natumia Maziwa tu.. mara ya kwanza nilikua nakunywa doda lkn 4/10/2017 nilikunywa fanta orange tumbo likauma nikapigwa Dripu 4 Now ni maziwa Tu..
Pombe si nzuri, mm sina changamoto yoyote maana rafiki zangu wote ni waimba kwaya nami pia..
Acha uongo mshipa wasiopenda kilevi ulevi wao sana upo chini sio kidogo ni sanaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] kidogo sio sana