Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MuoneeHuhuhuh..!
Sakayo mchepuko wa babu...[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji24][emoji24][emoji24]
Dooh nimeshasahau si unajua huu uzee maka akee halaf watu wasiotumia kilevi ulevi wao uko chiniShunie akee mara ngapi mie nakwambia situmii kinywaji cha kilevi. We ulevi wangu unaujua[emoji23] [emoji85]
Anakusemaje etii Dada kimafumboAbeeee
Mie naona ananisema kimafumbo
Ewaaaaa na wenyewe ndio nyieBabu ana wenyewe
[emoji23] [emoji23]Dooh nimeshasahau si unajua huu uzee maka akee halaf watu wasiotumia kilevi ulevi wao uko chini
DuuuhUsingizi tuuu
Huu uzee huu napingana nao kabisa he he starehe no moja duniani woiiii haswa upate mtu unaye mfeel na kumpenda acha niishie hapa[emoji23] [emoji23]
Uzee unakupeleka puta.
Na hiyo ndio starehe namba moja duniani.
Si kama hivyoAnakusemaje etii Dada kimafumbo
NdioDuuuh
Ahahahha kwahiyo anavyoniambia mm kuhusu babu ni mafumbo yakoSi kama hivyo
Haina mpinzani hii shunie akee..Huu uzee huu napingana nao kabisa he he starehe no moja duniani woiiii haswa upate mtu unaye mfeel na kumpenda acha niishie hapa
Sawa starehe yako nimeipendaNdio
Naona hivyo, tangu lini akakuona na mchepuko wangu!!Ahahahha kwahiyo anavyoniambia mm kuhusu babu ni mafumbo yako
KaribuSawa starehe yako nimeipenda