GE2025 Special Thread: Wasifu wa Wagombea Urais Uchaguzi Mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa samia anaelimu gani ? Viongozi wenye upeo mdogo wa kufikiria duniani 🤣🤣
Lissu ana elimu ya sheria ila karopoka Mambo ambayo anajua ni kuvunja sheria.usomi wake huja uoji
 
🤣 🤣 🤣 Nikisema CCM inakufa muwe mnaelewa Yaani kati ya wote wakaona Samia
 
Lissu ana elimu ya sheria ila karopoka Mambo ambayo anajua ni kuvunja sheria.usomi wake huja uoji
Kesi za kupewa eti uhaini gani ushahidi uko wapi?? hilo ni agizo katibu + Mwenyekiti + raisi , ushawishi wa lissu ni mkubwa sana kwa wananchi kuliko samia kila siku tuzo zisizokuwa na maana inatakiwa wampe na tuzo ya taisi mjinga kuliko wote tz
 
Acha unafiki Linda amani acha wivu na raisi mwislam halafu Sasa hivi waislamu tunataka tutawale mpaka mlie
 
Unamuwekaje Rais namba 2? Hauko serious.

SSH ndio ana CV nzito sana tena umeacha stahii zake nyingi sana kuanzia ndani ya CC ya Chama Hadi Tuzo alizotunukiwa ndani na Nje ya Nchi Kwa kazi zilizotukuka.
Sasa mtu kama huyu unamulekezaje unamuacha kama alivo October ndio atajuwa nani no moja hello I'm here
 
Unamuwekaje Rais namba 2? Hauko serious.

SSH ndio ana CV nzito sana tena umeacha stahii zake nyingi sana kuanzia ndani ya CC ya Chama Hadi Tuzo alizotunukiwa ndani na Nje ya Nchi Kwa kazi zilizotukuka.
Alfabetiko --- kwanini tume 2020 wslimuweka TAL mwisho wa karstasi? 😁
 
Unamuwekaje Rais namba 2? Hauko serious.

SSH ndio ana CV nzito sana tena umeacha stahii zake nyingi sana kuanzia ndani ya CC ya Chama Hadi Tuzo alizotunukiwa ndani na Nje ya Nchi Kwa kazi zilizotukuka.
Hapo mwenye Elimu ya ukweli ni Luhapa Mpina. Hawa wengine vilaza wamebumba vyeti
 
Hivyo Vyuo walivyosoma umeona ni vya kubumba?

Pili Mpina hana exposure ni Mashamba mmja tuu

Ana exposure kubwa sana kwenye uelewa. Huwa anajua kujenga hoja. Jamaa Elimu yake imenyooka achana na hao wa kubumba bumba kujazia. But pia ukiwasikia wanaongea mashudu. Hawajui hata cha kuongea. Hawana exposure ya uelewa. Si unajua kusafiri hata mende au nzi wanaweza safiri.
 
Unamuwekaje Rais namba 2? Hauko serious.

SSH ndio ana CV nzito sana tena umeacha stahii zake nyingi sana kuanzia ndani ya CC ya Chama Hadi Tuzo alizotunukiwa ndani na Nje ya Nchi Kwa kazi zilizotukuka.
Mkuu hebu tuwekee sawa huyo sa100 alipata daraja gani matokeo ya kidato cha 4...nakumbuka tu kdg ye mwenyewe alituambia hakufanya vzr matokeo ya kidato cha 4!.
Sasa hiyo hakufanya vzr ndio daraja gani hilo...4 au 0??.
 
Si Huwa Kuna kurudia kutafuta credit au? Baada ya hapo nini kilifuata?

Mtoto wa Mwendazake alikuwa na zero kabisa ila ni Mbunge myarajiwa
 
Unamuwekaje Rais namba 2? Hauko serious.

SSH ndio ana CV nzito sana tena umeacha stahii zake nyingi sana kuanzia ndani ya CC ya Chama Hadi Tuzo alizotunukiwa ndani na Nje ya Nchi Kwa kazi zilizotukuka.
Alitakiwa akae mwisho kama division aliyoipata form 4.

Huoni hapo kuna kuungaunga kusiokeleweka katika elimu yake?
 
Samia hayo mafunzo ya uongozi aliyapata lini huko Harvard?

Halafu kwa nini kile chuo “alichosoma” kule New Hampshire hamjakiweka?
 
Back
Top Bottom