View attachment 680690 View attachment 680691
O LED ni display ya lg ambayo wanaitumia sasa ambayo ina tofauti na LED .led display ni just kioo cha LCD ambacho kinatumia taa ndogo ndogo ambazo ndiyo zinaitwa led (light emmited diode) kumuulika na kuweza kufanya tuweze kuona picha inayotengenezwa pixel ambazo zinaunda kioo cha lcd.ila unapozingumzia O LED hii ni display ambayo haiitaji msaada wa taa kama lcd kuweza kuona picha ,hii oled display pixel zake zinazoiunda zinauwezo wa kutoa mwanga zenyewe ambapo faida yake kubwa ukiilinganisha na panel ya LCD/LED ni level ya rangi nyeuzi hi oled inaweza kuproduce true black kwa sababu inapotaka kutengeneza black ina zima pixel ambayo ipo katika location inayohitaji rangi nyeusi wakati kwa LCD/LED taa zitaendele kuwaka .AMOLED kwa upande mwingine inafanana kidogo na OLED kwa jinsi inavyofanya kazi ila inatumika zaidi kwenye smart phone na haipo advanced kwa OLED .OLED TV zinatengezwa na lg pekee na ndiyo high end model zoa ambazo nyingi nyembamba sana the best wembamba wake ni sawa na memory card mbili ukizibebesha ambayo thamani yake ni millioni arobaini na tano za kitanzania ya bei rahisi kidogo ina wembamba unaolingana na sm ya iphone na bei yake ni millioni kumi na tatu za kitanzania.LG OLED TV ndiyo tv zenye quality zaidi waeweza kuwapita hata samsung ambao wanateknolojia yao pia inayoitwa QLED ambayo ni zuri lakini haijafikia OLED. OH! nilisahau oled kirefu chake ni organic light emmited diode