Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

1f1d581c68507f6e5f311a9dec70fd2e.jpg
f202f695e20f719ff014c705279a4abb.jpg
....panasonic led (plasma display) 42 inche....hdmi, usb,memor card,vga, av, scart, audio port, internet port,....bei 650000
 
Mkuu lg led mpya ngapi? Na smart yake ngapi? Inch 32
Mkuu LG Mpya LED unapata kwa 549,999 hii ni inch 32"

halafu SMART LG TV unapata kwa 750,000/-

karibu sana mkuu. pia tuna aina zingine kama TCL, BOSS, STAR X , SAMSUNG NA SONY. Karibu sana kwa maswali
 
Mkuu mi nahitaji New LED smart tv with:-
1. 1080P
2. 32 "screen.
3. USB
4. VGA
5. HDMI
6. DVB-T2 i. e Satellite TV.
Iwe LG, SONY au SAMSUNG.
Naomba munitajie model mulizonazo zenye hizo specifications na bei?
 
Naomba kuuliza Wakuu, Hivi TV ikikaa karibu na Radio inaweza kuathiriwa kinamna yoyote? Aidha Rangi inapotea ya TV?(ina haribik)

TV ni LED FLAT SCREEN.

Msaada wadau.
 
Ni brand gani ya TV?, Na ni model gani?......... Screen resolution ni ipi?, screen size ni kiasi gani?
 
Samsung LED FLAT SCREEN.
Model UA40J5000AK.
Screen size 40 inched.
Screen Resolution 1920×1080.
 
Mkuu mi nahitaji New LED smart tv with:-
1. 1080P
2. 32 "screen.
3. USB
4. VGA
5. HDMI
6. DVB-T2 i. e Satellite TV.
Iwe LG, SONY au SAMSUNG.
Naomba munitajie model mulizonazo zenye hizo specifications na bei?
hiyo unayotaka yenye specification zote hizo unapata. kama upo dar karibu dukani kwetu. nitakufanyia bei nzuri kama mdau wa jamii forum.. tukutane PM kwa mawasiliano zaidi
 
Naomba kuuliza Wakuu, Hivi TV ikikaa karibu na Radio inaweza kuathiriwa kinamna yoyote? Aidha Rangi inapotea ya TV?(ina haribik)

TV ni LED FLAT SCREEN.

Msaada wadau.
Labda kama Redio inapiga mdundo mkubwa sana kiasi cha kuitetemesha...
 
hiyo unayotaka yenye specification zote hizo unapata. kama upo dar karibu dukani kwetu. nitakufanyia bei nzuri kama mdau wa jamii forum.. tukutane PM kwa mawasiliano zaidi
Pamoja mkuu thanks in advance...........
 
Back
Top Bottom