Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

New 2017 LG smart tv...inch 43 bei 1000000
4373051b0654d9fde164153e53a6e718.jpg
60e04510be8ac517c9ed9281dad47383.jpg
 
samsung 40inch series 5 inatakiwa 650k au kuvunja na samsung 32inch series 4 or lg plus cash ...nicheki kwa no 0716917896
Kuvunja na Samsung 32 inch series 4 na ngapi juu?
 
SAMSUNG SERIES 5 40INCH STAND UNAFUNGA UKUTANI INATAKIWA 650K NICHEKI 0716917896
au_UA40F5000AMXXY_531_Front_black.jpg
HAINA
 
wanunuzi wa tv angalieni imetengenezwa wapi tv nzuri ni made in japan au malaysia au indonesia au korea angalia south africa itakusumbua haidumu
 
wanunuzi wa tv angalieni imetengenezwa wapi tv nzuri ni made in japan au malaysia au indonesia au korea angalia south africa itakusumbua haidumu
Evidence plizzz kama auna evidence acha blah blah ninayo LG inch 60 ya south africa toka 2012 mpka leo ipo [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
wanunuzi wa tv angalieni imetengenezwa wapi tv nzuri ni made in japan au malaysia au indonesia au korea angalia south africa itakusumbua haidumu
samsung wana matawi yao egypt na south africa ,kwaajili ya kuongeza uzalishaji afrika so tuache kununua tv za samsung?? usimeze baba
 
Back
Top Bottom