Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Lg TV inch 47
Full HD
800,000/
IMG_20180208_175439.jpg
 
samsung 40inch series 5 led haina kitako
  • inatakiwa 650k tu ipo katika hali nzuri
  • haina stand ila unaweza bandika ukutani
  • ipo na remote yake
  • resolution ni 1080p
  • in hdmi port 2na usb port
  • inasoma na flash
  • imetengenezwa malaysia
  • kama upo interest na seriou nicheki kwa 0716917896
picha1.PNG
20180208_171734.jpg
picha2.PNG
 
BOSS Smart TV 43" ipo dukani ila imegongwa kidogo kwenye Kioo na kuweka kamchirizi kadogo. Bei yake kwa sasa itakuwa ni 420,000/-. Bado ina kila kitu mpaka Warranty

Picha zake na video tizama chini[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
bbbab0c211ca5c5d220bff0d607b05c4.jpg
1e94e2013137a2ab7914843f7bdef428.jpg


Maongezi yapo 0717016789
 
Back
Top Bottom