Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Hahah bos umenipa lecturer mpka mtu unafurahi unajua ahsanteh kiongozi ila kwa ushauri lcd,led ipi ni nzuri kwa bajeti ya kawaida mkuu
 
Hapana mkuu...ila unaweza kupata item hapa hapa ukaletewe huko ulipo km unae ndugu, jamaa, rafiki hapa dar nikutanishe nae tu..0629565168
Sina ndugu wala rafiki dar na nahitaji tv kutoka kwako naomba nikwamini tufanye biashara ya mbalimbali,,uniuzie tv 32 nchi samsung series 4 0r 5,inifikie kahama apa
 
Sina ndugu wala rafiki dar na nahitaji tv kutoka kwako naomba nikwamini tufanye biashara ya mbalimbali,,uniuzie tv 32 nchi samsung series 4 0r 5,inifikie kahama apa
Mkuu nicheck whtsapp kwa no hizi 0629565168 tuyajenge maana now sina series 4 samsung ila sio kesi njoo tuyajenge kuanzia j3 mzgo utapatikna
 
Naitaji smart TV ya boss nchi 49,50 au 51 bei Tafadhali
 
Nahitaji TV kuanzia inch 29 I we used au mpya kwa sh 300000/=
napatikana dar pande za survey chuo..
Mwenye nayo anicheki pm
 
Maelezo mazuri mkuu, hata sisi wauzaji haya mengne hata hatuyafaham, shukran kwa muuliza swali na ww mkuu ulietupa ufafanuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…