Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,348
- 3,305
Ya mwaka gani??Laki 4 kwa inch 32 Led tv ya samsung or LG utapata...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya mwaka gani??Laki 4 kwa inch 32 Led tv ya samsung or LG utapata...
2014Ya mwaka gani??
2016 sina mkuu2016 sipati kwa bei hiyo
Mkuu nimeku Pm naona kimya...nicheck 0629565168Samsung nch 43 HD ya mwaka 2017 mwezi wa 12 mpyaaaa nataka kwenda masomoni sina wakumuachia naking'amuzi cha Dstv chenye miezi miwili buree ndio kwanzi nimeichukuwa mwezi uliopita anaetakaView attachment 715290
Ina Bluetooth hii mkuu?
Inayo mkuuIna Bluetooth hii mkuu?
Brand gani unazo na smart ya samsung 32 inch na lg smart unaynayo size hiyo?Mimi niko dar.
Bei 480.000 top
Hizi ni latest boss
Zina support netflix
Mkuu salum sikupati hewani...ninae mdau anataka inch 48 au upo zanbar bado..ukipata hii text nitafuta fasta tufanye mchakato pesa ipo ktk mfuko wa shatiKazi kazi kwa smart na led za kijanja na za kisasa 0629565168View attachment 715028View attachment 715029View attachment 715030
Hii ya ukweli..nimeipenda.nipo Lushoto kwa sasa nikiihitaji naweza kuipata.
Naweza kukufikishia hadi tanga mjiniHii ya ukweli..nimeipenda.nipo Lushoto kwa sasa nikiihitaji naweza kuipata.
unaiuza sh ngap!? tuchekianeMkuu nimeku Pm naona kimya...nicheck 0629565168
Mkuu nahitaji samsung inches 32 naipataje niko dar2014
Basi poa nikiwa Tanga mjini, nitakucheki.nipe namba ili nikiihitaji nikucheki.Naweza kukufikishia hadi tanga mjini
0777650286, 0718919725Basi poa nikiwa Tanga mjini, nitakucheki.nipe namba ili nikiihitaji nikucheki.
Nataka 24 ya ofisi naweza ipata kesho?32@380,000