Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Wakuu nataka tv mbili LED inch 32 pesa leo leo..... Nipo dar na offer yangu ni 320,000 kwa kila moja
 
kwa lcd za kijanja fanya kunichech kwa 0629565168....lcd 32 ni 340000 na lcd inch 26 ni 280000
IMG_20180402_132724_778.jpg
IMG-20180402-WA0009.jpg
IMG_20180402_132724_778.jpg
IMG-20180402-WA0010.jpg
 
LG inch 55 smart tv UHD 4k bei gani mkuu?
ipo inch 49 used yenye sifa hizo imetumika 2month only kwa 1500000....ipo inch 65 zenye sifa hizo mpya kabisa na 2years warranty kwa milion 3 na ipo inch 55 samsung yenye sifa sifa hizo kwa milion 2 ila lg inch 55 sina mkuu
 
WA KALI WA HIZI KAZI KITAMBO SANA HATA CHOGO TV NITAKUFUNGIA UKUTANI IF U NEED KAZKAZ[emoji123][emoji123]
Screenshot_20180402-175727.jpg
 
Back
Top Bottom