Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Bado tunazo ni lg led mpya ya 2018 ambayo ina na mkono wa gem
Bei ni 440000 tu
Tutafute 0718919725 & 0777650286
 
wadau nahitaji wanunuzi pc zenye matatizo ila zinafaa kutengeneza kigezo wapatikane dar

kuna pc mbili

1.
hp probook core 2 duo
product compaq 6530b
ram 2gb
hdd 300
haina crack wala mchubuko tatizo ni kioo kiki display kinashake
hapa utanipatia 140000/=

2.
dell latitude E5400 core 2 duo
min ram 2gb
hdd 160
haina crack wala mchubuko tatizo ni kio kina mstari mwekundu katikati
hapa utanipatia 110000/=

karibu tuzungumze au nicheki kwa namba hizi
0675511089
0754576387
napatikana mbagala


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…