SALUM S HEMED
JF-Expert Member
- Mar 4, 2016
- 1,437
- 1,861
inch 55 samsung smart tv used six month warranty...bei 1800000/=
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu check vzr bei yakoavatr yangu no zangu zipo...nicheck 0629565168
Hiyo bei haipo sawaHebu check vzr bei yako
Nahitaji tv curved 2700000 ila naulizia una utaratibu wa kulipia mzigo kidogo kidogolg led slim inch 42...bei 700000/=View attachment 823044View attachment 823046View attachment 823047
inawezekana mkuu kama upo dar es salama utafika shop zetu za mnazi mmoja pale utapewa utaratibu wa kulipa kwa awamu na risti zako utakuwa unapatiwa za kuonyesha ulicholipia na balance..kwa more info piga 0629565168Nahitaji tv curved 2700000 ila naulizia una utaratibu wa kulipia mzigo kidogo kidogo
Pouwa mm ni mkazi wa dar ila nipo kikazi uku Mtwara nikija kucheki familia nitakuja hapo mnaz mmojainawezekana mkuu kama upo dar es salama utafika shop zetu za mnazi mmoja pale utapewa utaratibu wa kulipa kwa awamu na risti zako utakuwa unapatiwa za kuonyesha ulicholipia na balance..kwa more info piga 0629565168
mzee wa task force last week nimekutafuta sana no yako ilikuwa aiunganishwi na shida ya kioo cha inch 50 samsung smart tv kuna tv yangu mmoja imevunjika shop kwangu kwa bahati mbaya ni mmoja katika zile ulizoniuzia mara ya mwisho mzee wa kazikazi naomba unifanyie maujanja huko zanzbar au dar nipate kioo plizinawezekana mkuu kama upo dar es salama utafika shop zetu za mnazi mmoja pale utapewa utaratibu wa kulipa kwa awamu na risti zako utakuwa unapatiwa za kuonyesha ulicholipia na balance..kwa more info piga 0629565168
karibu mkuu ukishakuwa dar wasiliana na no hizoPouwa mm ni mkazi wa dar ila nipo kikazi uku Mtwara nikija kucheki familia nitakuja hapo mnaz mmoja
Hata Amazinglifestyletz wako poa sana,nimeshaagiza kwao,wamenitumia mzigo mpaka nilipo,hawa wana duka kubwa maeneo ya Sinza..CC fuu xkuz mkuu pole ila ktk wengi kuna mengi nimeshawai kununua tv kwa mdau mmoja humu nikatumiwa mpaka nilipo ila sikumaliza week 2 nilifatwa na polis nikatiwa ndani hio tv kumbe imeibiwa dar es salama..jaribu kudil na watu wenye maduka wanaolipa kodi na Tin za biashara wapo humu humu watu wanaojulikana duka zao zilipo na mizigo yao wanapoitoa kiasi kwamba sisi wa mikoani tukija dar tunajua tv 10 au 20 unazipata wapi kwa jumla sio hawa wa kuuza tv moja moja itakula kwako utauziwa mbovu, ya wizi, utatapeliwa jaribu kufanya biashara na watu kama Algeciras, Salum s hemed, abdulwahid
mkuu pole kwa kukosa mawasiliano ila pole zaid kwa kuvunja icho kioo..nitumie model ya hio tv kule wahtsapp tunaweza kufanya maajabu ila jipange display yake sio chini ya 750000mzee wa task force last week nimekutafuta sana no yako ilikuwa aiunganishwi na shida ya kioo cha inch 50 samsung smart tv kuna tv yangu mmoja imevunjika shop kwangu kwa bahati mbaya ni mmoja katika zile ulizoniuzia mara ya mwisho mzee wa kazikazi naomba unifanyie maujanja huko zanzbar au dar nipate kioo pliz
poa mkuu nakutumia model fasta no way nitalipa nimeshazunguka vya kutosha hakuna hata aliyenipa matumainimkuu pole kwa kukosa mawasiliano ila pole zaid kwa kuvunja icho kioo..nitumie model ya hio tv kule wahtsapp tunaweza kufanya maajabu ila jipange display yake sio chini ya 750000
mimi natafuta kioo cha skyworth inch 43mkuu pole kwa kukosa mawasiliano ila pole zaid kwa kuvunja icho kioo..nitumie model ya hio tv kule wahtsapp tunaweza kufanya maajabu ila jipange display yake sio chini ya 750000
call him ibadi 0713754818...mwambie no yako amenipa al shabaabmimi natafuta kioo cha skyworth inch 43
Lg inc 43 na 49 mpya how muchMkuu hata wa mikoani tunawauzia, ni ww tu hujaamua, ukishakua tayari sema utauziwa unayotaka