Peter Mabala
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 1,216
- 1,680
Mkuu fanya biashara.Noma hyo mkuu... labda kama nalipa kwa uliemtuma mzigo
Alinitumia mzigo wangu kwa njia ya posta nikaupokea singida ukiwa salama kabisa.
Ninamwamini Abdul kwa 99%
Hiyo 1% iliyobaki naiacha katika u binadamu wake.