Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Noma hyo mkuu... labda kama nalipa kwa uliemtuma mzigo
Mkuu fanya biashara.
Alinitumia mzigo wangu kwa njia ya posta nikaupokea singida ukiwa salama kabisa.

Ninamwamini Abdul kwa 99%

Hiyo 1% iliyobaki naiacha katika u binadamu wake.
 
*Aborder Tv*+ startimes (King'amuzi)
_Size_ 32
_Used 7 months_
400,000Tsh
Nichek hapa 0753997707
 
Wakuu naulizia kwa mwenye home thetre za samsung mtumba za watt 1000 zinabei gani nahitaji
 
lg smart tv inch 65 4k tv bei 4000000, samsung inch 55 curved 4k tv series 7 bei 2700000/= samsung curved inch 49 series 7 ni 4k tv bei 2000000/= zote zina 2years warrantyView attachment 819298
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…