Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Kuna jamaa aliniuzia tv inchi 24,, mapatano ilikuwa tv lg 32. Baada ya hapo tulikubaliana anirudishie pesa kidogo mpaka dakika hii amegoma kunimalizia pesa yangu,, ilikuwa mwezi wa pili sasa ni mwezi wa tisa.

Nashauri, mnauza bidhaa muwe waaminifu na mnauziwa/kununua bidhaa mtandaoni kuweni makini sana aisee!!
 

Pole mkuu lkn kama alokufanyia huo uhuni yupo humu ndani kwann usimtaje? Ili wadau wawe na tahadhari nae zaidi
 
Pole mkuu lkn kama alokufanyia huo uhuni yupo humu ndani kwann usimtaje? Ili wadau wawe na tahadhari nae zaidi
Yupo humu ndio,,, nampa siku tatu,,, baada ya hapo nitaweka namba zake za simu humu.
 
Zipo 5 hizo tv kila moja ni 490000/=
Ni mpya Samsung inch 32 zipo Dar
Nipigie 0657520516
 
Sio mbinafsi mimi na hii link sija iweka mimi jiulize jf nimeanza kupost lini na sijawahi kuingia huku
Na wasomaji zaidi ya 2000 wanao pitia link yangu na napokea sim na sms zaidi ya unavyo dhani ndio mana sikuwahi kupost bidhaa zetu ndani ya post ya mtu
Naomba utusamehe kama tulekukwaza aliepost humu ni mwingine sio mimi
Mkuu sorry kwa hilo
 
Sawa mpe taarifa huyo mwingne asifukuze watu kule maana watu wengine wanakosea km yeye alivyokosea leo..ijumaa mubarak
 
Lg 42inch led tv

Ni ya mtumba

Bei 670k

Nicheki kwa no 0716917896 kama upo serious na biashara
 

Attachments

  • IMG-20180914-WA0035.jpg
    31.2 KB · Views: 48
  • IMG-20180914-WA0034.jpg
    39.3 KB · Views: 34
  • IMG-20180914-WA0033.jpg
    48.3 KB · Views: 49
  • VID-20180914-WA0038.mp4
    VID-20180914-WA0038.mp4
    2.1 MB · Views: 21
Lg 42inch led tv

Ni ya mtumba

Bei 670k

Nicheki kwa no 0716917896 kama upo serious na biashara
Hio tv mbona ipo nyumbani?kwa nin inauzwa? Ina uzima? Na risti iliyonunuliwa nayo awali ipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…