Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

mi pia kuna jamaa tulipatana model nyingine akatuma anayoijua yeye, iliniletea shida sana, ila abdulwahid hana tatizo na sidhani kama ashawahi kufanya ujinga huo ....
 
Ndicho ulichokiona, waswahili bana kila sehemu ni mzaha tu maana mswahili choo anaweza kukifanya bafu na bafu akalifanya kuwa choo
Sasa mkuu povu la nini? Km aiuzwi si basi mkuu[emoji12]
 
Jipatie LG Inch 32 LED TV Pamoja Na King'amuzi Cha Dstv Kwa 620,000 tu Nakuletea Mpaka kwako Nakufungia Tv Ukutani Na Kukufungia King'amuzi Kabisa Vyote Ni kwa 620,000 tu Hakuna Gharama Inayoongezeka Na Unalipia Mzigo Ukishafika Kwa Mkazi Wa Dar Duka Letu Lipo Mwenge Lufungila Karibu na Mlimani City Ukihitaji Piga 0716366999 / 0762022066
 
mi pia kuna jamaa tulipatana model nyingine akatuma anayoijua yeye, iliniletea shida sana, ila abdulwahid hana tatizo na sidhani kama ashawahi kufanya ujinga huo ....

Mkuu ahsante me sina magumashi, kitu kama sina nasema sina, ubabaushaji kwetu ni mwiko
 
Mtaje ili tumwepuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…