SALUM S HEMED
JF-Expert Member
- Mar 4, 2016
- 1,437
- 1,861
Led tv aina soyi full hd ni new brand and one year warranty inch 43 full boxed bei 650000/=
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nahitaji tv inch 40-43 brand yoyote, nipo Mwanza
mkuu upo mwanza nije kuchukua?Chagua kuna samsung 40” 750000, lg 43” 750000, tcl smart 43” 700000 na star x43” 600000, ipo pia star x 40” kwa 500000View attachment 898297View attachment 898298View attachment 898299View attachment 898300View attachment 898301
Kaka hua unauza na Feni ? Na je unazo za aina gan na shi ngpHdmi port zipo 2, usb port 2 na resolution yake ni 1080p, pia ni smart ila sio ya wireless ndo maana nikaitambulisha kama led tu, kuhusu discount mkuu hiyo bei ni fixed
mkuu upo mwanza nije kuchukua?
Kaka hua unauza na Feni ? Na je unazo za aina gan na shi ngp
Ntumie picha zakeBLACKSTONE LCD 22inch ina remote yake ina port ya VGA,HDMI,USB
Bei: 180,000
Mahali: Mbezi Mwisho
No.0652270700
200k tuongeeHabari wakuu, naiuza tv flat screen inch 24, ipo katika hali nzuri sana, (imenunuliwa miezi michache iliyopita).
Itakufaa sana kwa matumizi ya nyumbani kwako,
bei ni laki 3 pungufu ya hapo tutaongea, karibuni sana
Napatikana ubungo river side
poa njoo chukua mzigo200k tuongee
Ntumie picha zke pm au hata hapapoa njoo chukua mzigo
nimekupmNtumie picha zke pm au hata hapa
Ntumie picha zake
Nlkua nahtaji feni za mitumba hko zanzbar sjui unaweza ukanisaidiaje mkuuFeni sina