Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Led tv aina soyi full hd ni new brand and one year warranty inch 43 full boxed bei 650000/=
IMG-20181014-WA0038.jpg
 
nahitaji tv inch 40-43 brand yoyote, nipo Mwanza

Chagua kuna samsung 40” 750000, lg 43” 750000, tcl smart 43” 700000 na star x43” 600000, ipo pia star x 40” kwa 500000
IMG_0690.JPG
IMG_0686.JPG
IMG_0683.JPG
IMG_0684.JPG
IMG_0090.JPG
 
Attachments

  • IMG_0097.JPG
    IMG_0097.JPG
    120.9 KB · Views: 73
Lg inch 50 LED(display) second hand bei 900000/= LG inch 42 second hand LED bei 650000...kazkaz[emoji123][emoji123]
IMG_20181016_072330_656.jpg
 
SAMSUNG 32 INCH LED TV

BEI : 530,000/=

[emoji818]In Built Satellite
[emoji818]Clean View
[emoji818]SERIES 5
[emoji818]2 Years Warranty
[emoji818]FREE DELIVERY in DAR

LOCATION : K/KOO

KWA MAWASILIANO:

WhatsApp / Message / Call - 0717016789
93f63d27d079919e8180a0f59057ca7d.jpeg
8ec00d38e36c2248d2d3d0b2f668c152.jpeg
e2836004a9508a06c922803e076bfc5e.jpeg
 
Habari wakuu, naiuza tv flat screen inch 24, ipo katika hali nzuri sana, (imenunuliwa miezi michache iliyopita).

Itakufaa sana kwa matumizi ya nyumbani kwako,

bei ni laki 3 pungufu ya hapo tutaongea, karibuni sana

Napatikana ubungo river side
 
Hdmi port zipo 2, usb port 2 na resolution yake ni 1080p, pia ni smart ila sio ya wireless ndo maana nikaitambulisha kama led tu, kuhusu discount mkuu hiyo bei ni fixed
Kaka hua unauza na Feni ? Na je unazo za aina gan na shi ngp
 
Habari wakuu, naiuza tv flat screen inch 24, ipo katika hali nzuri sana, (imenunuliwa miezi michache iliyopita).

Itakufaa sana kwa matumizi ya nyumbani kwako,

bei ni laki 3 pungufu ya hapo tutaongea, karibuni sana

Napatikana ubungo river side
200k tuongee
 
Back
Top Bottom