Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Mkuu buwa huleti inch ndogo mfano 24 hadi 28 kwa brands ya TCL,LG au SAMSUNG.
 
Hizo hatupakii siku hizi mana ni ghali hazina tofauti sana 32, mana mteja ukimwambia 24 ya samsung alipe 320000 anaona ghali wakati kwa bajeti hiyo unapata star x 32" na chenji inabaki
Anhaa nimekuelewa Mheshimiwa.Ahsanteh
 
mi naitaji TV nchi 42 ila unanipa kisha nakulipa kidogo kidogo(kila mwezi) mpaka deni liishe.ukinipa nakupa laki 1 na nusu alafu kila mwezi naendelea kulipa
 
mi naitaji TV nchi 42 ila unanipa kisha nakulipa kidogo kidogo(kila mwezi) mpaka deni liishe.ukinipa nakupa laki 1 na nusu alafu kila mwezi naendelea kulipa
😅😅 Yaani unavyojipangia na hiyi laki moja na nusu ila niliskia kuna jamaa K/koo anafanya hiyo biashara anakuja kagua kama ni sehemu unapofanya kasi ushahidi na unapoishi kisha anakupa kideo.
 
Back
Top Bottom