Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Lg home theater
1200W
Bei 650000 (fixed)
0777650286, 0718919725
IMG_20190724_143136.jpeg
 
290000
[/QUOTEziko vizuri siku ukipata led au smart mtumba yenye hali nzuri unijuze Boss nilipie Ata kwa awamu mbili .Nimuwekee shemeji yako ndani nina mahaba makubwa na LG tv kaka hasa zile ambazo ni maalumu kuuzwa kwa mataifaya magharibi huko
 
Alhamdulillah, Zanzibar to Dar, moja kwa mteja mmoja alietusikia na kutuamini, Mungu akubariki
IMG_20190725_085601.jpeg
IMG_20190725_085540.jpeg
IMG_20190725_094952_821.jpeg
 
Subwoofer ya gari Inauzwa laki na hamsini (150,000)
Watts 1000
Ipo kwenye good condition yani ni ya kulipa na kuondoka nayo.

0625834779
20190722_235707.jpeg
20190710_154631.jpeg
20190710_154656.jpeg
 
Back
Top Bottom