Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
Bei ya tv ni 290000, usafir, kodi na vurugu zote mpaka inafika IRINGA ni 40000, so mpaka anaipokea Iringa amelipia 330000Mambo mengine bwana yani kodi ya TRA bandarini, usafiri hadi mahala aliko Valentino haya yote umeyaweka kwenye hiyo bei au ikoje?