Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
Bei ya tv ni 290000, usafir, kodi na vurugu zote mpaka inafika IRINGA ni 40000, so mpaka anaipokea Iringa amelipia 330000Mambo mengine bwana yani kodi ya TRA bandarini, usafiri hadi mahala aliko Valentino haya yote umeyaweka kwenye hiyo bei au ikoje?
Hahahhaha, Naitolea bandari ya Malindi Zanzibar, naingiza dukani kwetu Zanzibar, kwa mteja alieko nje ya Zanzibar na akataka tumsafirishie atalipia gharama za usafir pa1 kodi, hapa mara nyingi hua nasafirisha kwa posta au Ndege kutegemea na mteja alipoNaomba kujua pia hii mizigo wewe unaitolea wapi kwa maana ya bandari gani?
Akili kumkichwa! Si kheri ukafungua duka na huku bara kwenye wateja wengi?Bei ya tv ni 290000, usafir, kodi na vurugu zote mpaka inafika IRINGA ni 40000, so mpaka anaipokea Iringa amelipia 330000
Mimi niko Rock city huku nikitaka hiyo kitu ya 290K si itafika hadi 370K huoni utanipoteza mteja hivihivi nitakimbilia Kariakoo ili nisipate kero ya kodi?Hahahhaha, Naitolea bandari ya Malindi Zanzibar, naingiza dukani kwetu Zanzibar, kwa mteja alieko nje ya Zanzibar na akataka tumsafirishie atalipia gharama za usafir pa1 kodi, hapa mara nyingi hua nasafirisha kwa posta au Ndege kutegemea na mteja alipo
Nani kakuambia ukitaka star x 32" mpaka mwanza ni 370000? Mpaka huko utaipata kwa hiyo hiyo 330000Mimi niko Rock city huku nikitaka hiyo kitu ya 290K si itafika hadi 370K huoni utanipoteza mteja hivihivi nitakimbilia Kariakoo ili nisipate kero ya kodi?
Mkuu ushauri wako tutaufanyia kazi, tuko katika upembuzi yakinifu, tutafanya hivo in shaa Allah, ni suala la mda tuAkili kumkichwa! Si kheri ukafungua duka na huku bara kwenye wateja wengi?
Ni ushauri tu hizo habari za kuanza kulipia kodi tena haupati wateja wengi wa bara kama unavyotakiwa kuwapata kwa sababu kodi za TRA bandarini ni za hatari unaweza kupiga mkono wa kufa mtu
Ni bora umueleze ukweli tena akutumie hela ummpe mzigo kwa 325000 ndio amini.5000 atatumia kununua satoNani kakuambia ukitaka star x 32" mpaka mwanza ni 370000? Mpaka huko utaipata kwa hiyo hiyo 330000
Kwa mteja wa Dar es Salaam nitaipata kwa sh. Ngapi?Nani kakuambia ukitaka star x 32" mpaka mwanza ni 370000? Mpaka huko utaipata kwa hiyo hiyo 330000
Bei hiyo hiyoKwa mteja wa Dar es Salaam nitaipata kwa sh. Ngapi?
Hahahah sawa mkuu, haya ushaombewa na mdau hapo ntakuletea kwa 325000 tuNi bora umueleze ukweli tena akutumie hela ummpe mzigo kwa 325000 ndio amini.5000 atatumia kununua sato
SAMSUNG UA-32J4003BK
BRO hv hii model ni smart TV??
Asante
Nakuelewa sana boss, haujawahi kuniangusha. Mungu akubariki katika uaminifu wako.Hahahah sawa mkuu, haya ushaombewa na mdau hapo ntakuletea kwa 325000 tu
AminNakuelewa sana boss, haujawahi kuniangusha. Mungu akubariki katika uaminifu wako.
Mpaka Arusha Sh ngap?Samsung uhd 43"
Brand new series 7
Free bracket & hdmi
Bei 1050000
0777650286, 0718919725
View attachment 1163218View attachment 1163221View attachment 1163222
1.1m mkuu, na kwa Arusha utaipata siku hiyo hiyo utakayoagiza, mana naipakia kwenye ndege fasta tuMpaka Arusha Sh ngap?
350k
Ngoja nijipange mkuu1.1m mkuu, na kwa Arusha utaipata siku hiyo hiyo utakayoagiza, mana naipakia kwenye ndege fasta tu