Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Samahani mkuu, unapoenda kununua huwa huwaambii waiwashe uangalie mpaka ujiridhishe? Au utaratibu unakuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ma picha fulani ya HD huwa sijui wametolea wapi ndio huwa wanazicheza zinakuwa angavu kweli kweli kumbe wanazo kwenye flash utaingia king tuu....Peleka nyumbani sasa ndio utaona shughuli ya jeshi
 
Samahani kama nitakua nje ya lengo la thread.. Naomba kuuliza TV nchi 32 SAMSUNG imeungua taa za ndani, just inawaka inatoa sauti lakini picha ni giza, nauliza bei ya hizo taa kama nitaweza kupata na kwa bei ipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategema TV yako ina mikanda mingapi ya bulb inch 32 Mara nying ni mikanda minne or sita (inategema hio TV kama copy or Og) mkanda mmoja ni elfu 20..cha kumlipa fundi makubalinao yenu
Samahani kama nitakua nje ya lengo la thread.. Naomba kuuliza TV nchi 32 SAMSUNG imeungua taa za ndani, just inawaka inatoa sauti lakini picha ni giza, nauliza bei ya hizo taa kama nitaweza kupata na kwa bei ipi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ma picha fulani ya HD huwa sijui wametolea wapi ndio huwa wanazicheza zinakuwa angavu kweli kweli kumbe wanazo kwenye flash utaingia king tuu....Peleka nyumbani sasa ndio utaona shughuli ya jeshi
Hahaha, so ni vyema nikienda nibebe flash yangu na movie or music video zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…