Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikupigia simu jana mkuu fanya kama nilivyokuambia
Tv yangu LG inch 24 inaonesha hivyo ila kuna muda ukiangalia sana icho kidude kinashuka chenyewe.Shida itakua ni nini boss?s
Tv yangu LG inch 24 inaonesha hivyo ila kuna muda ukiangalia sana icho kidude kinashuka chenyewe.Shida itakua ni nini boss?s
Sawa kiongozi kama ikiwa kioo bei zake huwa zikoje?
Samahani mkuu, unapoenda kununua huwa huwaambii waiwashe uangalie mpaka ujiridhishe? Au utaratibu unakuajeHongera wewe afadhali ulibahatika kupata vibaka wa kukuondolea kero maana hakuna kero mbaya umenunua dude kubwa kwa bei kubwa halafu unaweka sebuleni , umeunga dstv au azam lakini mpira unaangalia hata sura ya mchezaji huitambui lakini ukiangalia TV yenyewe mabango kibao mara 4K, mara smart, HDMI lakini picha sasa!!!!? nina option ya kuibadilishia utumbo CARD nimeambiwa kuna kadi mzuri za mchina zinapatikana kwa bei nafuu ikishindikana ni kutaim usiku wa manane kwenda kuitupa jalalani au najifanya nampelekea fundi kutengeneza na kuitelekeza huko huko
Kuna ma picha fulani ya HD huwa sijui wametolea wapi ndio huwa wanazicheza zinakuwa angavu kweli kweli kumbe wanazo kwenye flash utaingia king tuu....Peleka nyumbani sasa ndio utaona shughuli ya jeshiSamahani mkuu, unapoenda kununua huwa huwaambii waiwashe uangalie mpaka ujiridhishe? Au utaratibu unakuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Ofa yangu 200k,ila isioneshe hio wasafiNauza tv yangu 32 inch.
Ina miezi mitano tu
Nauza kwa dharula
Lete offer yako nikuachie ndugu.
Contact : 0737265741View attachment 1310879View attachment 1310882
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu fundi ndo kakuambia kua ni taa ndo shida ya hiyo tv?Samahani kama nitakua nje ya lengo la thread.. Naomba kuuliza TV nchi 32 SAMSUNG imeungua taa za ndani, just inawaka inatoa sauti lakini picha ni giza, nauliza bei ya hizo taa kama nitaweza kupata na kwa bei ipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani kama nitakua nje ya lengo la thread.. Naomba kuuliza TV nchi 32 SAMSUNG imeungua taa za ndani, just inawaka inatoa sauti lakini picha ni giza, nauliza bei ya hizo taa kama nitaweza kupata na kwa bei ipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kiongozi kama ikiwa kioo bei zake huwa zikoje?
Hahaha, so ni vyema nikienda nibebe flash yangu na movie or music video zanguKuna ma picha fulani ya HD huwa sijui wametolea wapi ndio huwa wanazicheza zinakuwa angavu kweli kweli kumbe wanazo kwenye flash utaingia king tuu....Peleka nyumbani sasa ndio utaona shughuli ya jeshi
Asante sana mkuu, ngoja nifuatilieInategema TV yako ina mikanda mingapi ya bulb inch 32 Mara nying ni mikanda minne or sita (inategema hio TV kama copy or Og) mkanda mmoja ni elfu 20..cha kumlipa fundi makubalinao yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
MKuu lg inches 43 kioo bei gani???Icho sina mkuu kubet ktk bei itakuwa uongo..ninavyo vioo vya 32,43,49,55(lg na Samsung,tcl,boss)
Sent using Jamii Forums mobile app