Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
Boss naomba angalia hii picha kisha nisaidie huko store
kuniangalizia kama nitapata sony ya sifa hizi (LED TV)
View attachment 1346231
Abdulwahid
hii MODEL YA 32R300E resolution yake ni 1366x768
haitonifaa kwenye matumizi ninayoyataka,natamani 1920x1080
Jamani mafundi kama mpo mniambie kama inatengenezeka au laa. Kama inatengenezeka gharama itakua sh.ngapi?
Na sina ujuzi na tv kabisaa hapo hata ukiniuliza ni ya nch ngapi kwa kweli sijui.View attachment 1347640View attachment 1347642View attachment 1347643
Sent using Jamii Forums mobile app
Kioo LG 43 sh ngap mkuuIcho sina mkuu kubet ktk bei itakuwa uongo..ninavyo vioo vya 32,43,49,55(lg na Samsung,tcl,boss)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hizo sticker za ukutani zinapatikana wapi?HISENSE smart 4k UHD
inch 50
iko safi sana
nauza 1m
na hyo toshiba kwenye meza
inch 50
nauza 1m
0713799522View attachment 1330726View attachment 1330729View attachment 1330730
bei ganiNauza LG utra HD Tv inch 43 kioo hakifanyi kazi,
Kioo kilipata krek siku fundi anaifunga, ikiwa haijatumika
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss nchi 43 unaniuziaje kiongoziIcho sina mkuu kubet ktk bei itakuwa uongo..ninavyo vioo vya 32,43,49,55(lg na Samsung,tcl,boss)
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss 55 bei gnh
Icho sina mkuu kubet ktk bei itakuwa uongo..ninavyo vioo vya 32,43,49,55(lg na Samsung,tcl,boss)
Sent using Jamii Forums mobile app