Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Jamani mafundi kama mpo mniambie kama inatengenezeka au laa. Kama inatengenezeka gharama itakua sh.ngapi?
Na sina ujuzi na tv kabisaa hapo hata ukiniuliza ni ya nch ngapi kwa kweli sijui.
424263364.jpeg
1965296637.jpeg
293925692.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom