Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna duka wanatoa warranty ya miaka mitatu kwa TV ya Hisanse nilitamani ni
chukue
Sent using Jamii Forums mobile app
kama mzigo upo mpaka tar 30, ntauchukua...Kama nilivyoandika hapo mwisho 250k TZS kaka
wewe unatafuta kupigwa ulete kilio humu,nahitaji smart tv 32 inch...kwa 300k...naweza pata kwa tar 30?
wewe unatafuta kupigwa ulete kilio humu,
ni vyema tuweze elimishana siyo wote wajuzi wa hizi mambo...wewe unatafuta kupigwa ulete kilio humu,
Kwa lugha rahis ni kua bajeti yako haitoshi kupata Smart tv size unayotaka. Ukikuta a na mtu mwenye njaa atakupa bomu kwa hiyo pesa yako.ni vyema tuweze elimishana siyo wote wajuzi wa hizi mambo...
350000 utapata hisense, inategemea na ulipo lknni vyema tuweze elimishana siyo wote wajuzi wa hizi mambo...
nahitaji smart tv 32 inch...kwa 300k...naweza pata kwa tar 30?
nipo temeke
Nimekuelewa, kwahiyo nijivute mpaka kwenye kiasi gani kwa 32inch smart una shauri?Kwa lugha rahis ni kua bajeti yako haitoshi kupata Smart tv size unayotaka. Ukikuta a na mtu mwenye njaa atakupa bomu kwa hiyo pesa yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka ikufike hapo ni 400000 kamilinipo temeke
changombe ,maduka mawili