Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Tv yangu inch 32 led sumsung 19 volt dc imeleta mistari na picha zinacheza sana.Msaada wakuu tatizo linaweza kuwa nini?
maana fundi amekula hela lkn hamna kitu.
Ananiambia tcon imeharibika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAUZA LG NCH 49 LED imetumika mwaka mmoja tu, risiti ya manunuzi ipo
Bei 1,100,000
Nichek 0621045144
20200421_221536.jpg
Screenshot_20200421-215928_Gallery.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom