Mkuu jitahidi watu wa Dodoma tuwe na option ya kulipa on delivery...Hisense smart 49" kwa mdau Dar
Analipa cash on delivery 850000 mpaka anapokea.
Tunawarahisishia wakuu nyny waoga wa kupigwa, agiza chochote utalipa baada ya mzigo kufika,
Hii ni kwa Dar, Mtwara, Singida, Morogoro na Mbeya
0777650286/0718919725
Note: Hisense Smart 49" ni 750000 tuView attachment 1438614View attachment 1438615
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu jitahidi watu wa Dodoma tuwe na option ya kulipa on delivery...
Jitahidi tafadhali maana Moro na Dom sio mbali tusaidie kwa hilo, Dom saiv kuna watu wengi sana naamini utapata biashara ya uhakika maana wafanyabiashara wa Dom wana bei za ajabu ajabu sana alafu wanajiona kweli kweli kwakuwa wako wachache
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inatembea bei ganTcl smart Android 32" to Mwanza
Alhamdulillah
0777650286/0718919725View attachment 1411166View attachment 1411167
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii von 32 smart pesa ngapVON HOTPOINT SMART TV INCH 60 CURVED
big screen
full HD
USB
HDMI
1.6milion
0713799522
Nipe kazi ya kuwafikishia mzigo wa dodoma bossTunalifanyia kazi hilo mkuu, tunaenda mbio kuhakikisha hilo linafanikiwa, subira tu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Warrant miaka mingapi?? Je kwa kuwa hamuna ofisi dar nawapataje pamoja na kunipa warranty??
Sawa mkuu tutaongea ila tayari tumeshapata mdau wa kufanya hiyo kaziNipe kazi ya kuwafikishia mzigo wa dodoma boss
Zeisha, tulikua tunauza 650000Hisense inch 43 4k inakwenda kwa sh ngapi?
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kama uko.serious unataka hiyo tv nichek 0718919725/0777650286Warrant miaka mingapi?? Je kwa kuwa hamuna ofisi dar nawapataje pamoja na kunipa warranty??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ninatv yangu Samsung inch 32 watotot walipasua kioo, kunawezakuwa na spere ya display na ni sh ngapi kwa hyo TV yang?Waungwana tumeongeza mikoa ya kulipa on delivery ambayo ni Dodoma, Lindi naTanga
Hivo kwa sasa wadau wote walio Dar, Morogoro, Singida, Mtwara, Lindi, Tanga, Dodoma na Mbeya, unaweza kuagiza Mzigo ukalipa baada ya kupokea na kukagua mzigo wako
Tunawarahisishia mambo ktk kipindi hiki ambazo wezi na matapel wa mtandaoni wemekua wengi, Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app