Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Hisense smart 49" kwa mdau Dar
Analipa cash on delivery 850000 mpaka anapokea.
Tunawarahisishia wakuu nyny waoga wa kupigwa, agiza chochote utalipa baada ya mzigo kufika,
Hii ni kwa Dar, Mtwara, Singida, Morogoro na Mbeya
0777650286/0718919725
Note: Hisense Smart 49" ni 750000 tu
IMG_20200503_111749.jpeg
IMG_20200503_131846.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tcl smart 4k Android 55" nyengn kwa mdau Dar, tupo kazini kukupatia unachotaka kwa gharama nafuu, hii tunakuletea mpaka ulipo kwa 1.2m
Yenywe tunauza 1.05m
0777650286/0718919725
IMG_20200503_131621.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hisense smart 49" kwa mdau Dar
Analipa cash on delivery 850000 mpaka anapokea.
Tunawarahisishia wakuu nyny waoga wa kupigwa, agiza chochote utalipa baada ya mzigo kufika,
Hii ni kwa Dar, Mtwara, Singida, Morogoro na Mbeya
0777650286/0718919725
Note: Hisense Smart 49" ni 750000 tuView attachment 1438614View attachment 1438615

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu jitahidi watu wa Dodoma tuwe na option ya kulipa on delivery...

Jitahidi tafadhali maana Moro na Dom sio mbali tusaidie kwa hilo, Dom saiv kuna watu wengi sana naamini utapata biashara ya uhakika maana wafanyabiashara wa Dom wana bei za ajabu ajabu sana alafu wanajiona kweli kweli kwakuwa wako wachache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunalifanyia kazi hilo mkuu, tunaenda mbio kuhakikisha hilo linafanikiwa, subira tu mkuu
Mkuu jitahidi watu wa Dodoma tuwe na option ya kulipa on delivery...

Jitahidi tafadhali maana Moro na Dom sio mbali tusaidie kwa hilo, Dom saiv kuna watu wengi sana naamini utapata biashara ya uhakika maana wafanyabiashara wa Dom wana bei za ajabu ajabu sana alafu wanajiona kweli kweli kwakuwa wako wachache

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Satisfied customer wa Dar baada ya kupokea hisense smart 49" na kukuta ipo salama, tunakushkuru mkuu, najua umo humu, kama hutojal unaweza kuwapa mrejesho wadau
Screenshot_2020-05-03-19-12-20.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waungwana tumeongeza mikoa ya kulipa on delivery ambayo ni Dodoma, Lindi naTanga

Hivo kwa sasa wadau wote walio Dar, Morogoro, Singida, Mtwara, Lindi, Tanga, Dodoma na Mbeya, unaweza kuagiza Mzigo ukalipa baada ya kupokea na kukagua mzigo wako

Tunawarahisishia mambo ktk kipindi hiki ambazo wezi na matapel wa mtandaoni wemekua wengi, Ahsanteni

Mkuu ninatv yangu Samsung inch 32 watotot walipasua kioo, kunawezakuwa na spere ya display na ni sh ngapi kwa hyo TV yang?
 
Back
Top Bottom