Ntakuuliza tena next time ajili ya hisense smart in shaa llahHisense smart 40" na 43" zimetuishia
Zipo.za kawaida tu
Ambazo ni 500000 na 570000 respectively kwa dar
Ntakuuliza tena next time ajili ya hisense smart in shaa llah
Ulichukua siku nne tu ukijumlisha na siku ya malipo hapo. Kutoka Zanzibar mpka Singida. Hakuna changamoto. Mzigo unadunda toka 2017 mpka leo.Walio wahi kupokea tv toka Zanzibar wake walete mrejesho ilifika baada ya muda gani na changamoto walizokutana nazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichukua siku nne tu ukijumlisha na siku ya malipo hapo. Kutoka Zanzibar mpka Singida. Hakuna changamoto. Mzigo unadunda toka 2017 mpka leo.
Duh!Nahitaji flat tv nchi 32, brand yoyote offer yangu 150,000. Mwenye nayo ani PM tufanye biashara.
Sikuhiz siku moja mzigo umefika Singida Posta wako vizuri nowadysUlichukua siku nne tu ukijumlisha na siku ya malipo hapo. Kutoka Zanzibar mpka Singida. Hakuna changamoto. Mzigo unadunda toka 2017 mpka leo.
Bei gani hii mkuuIkungi.Singida once again, alhamdulillah wanatuelewa sana wana Ikungi
Tcl smart Android 32" kwa mdau SingidaView attachment 1450304View attachment 1450305
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei gani hii mkuu
BeiJVC smart tv inch 50
used from UK
tv kali sana
YouTube, netflix
USB
HDMI
0713799522
free delivery dar
View attachment 1470566View attachment 1470567
Mkuu.. TCL android 43' 4k.. unauzaje.. na Ya 49' 4k pia. .
Mkuu.. TCL android 43' 4k.. unauzaje.. na Ya 49' 4k pia. .
Samahan pia kama unazo Hisense Android 43' au 49' naomba unifahamishe bei zake....
.
Mkuu hisense smart 43" zimepatikana,Ntakuuliza tena next time ajili ya hisense smart in shaa llah
Hii inaendaje mkuuMkuu hisense smart 43" zimepatikana,
Zipo pisi 5 tu, kama uko tayar now wahi mapemaView attachment 1473289
Ipoo boss blackstone,star x 32 bei 300000 mpyaa warranty mwaka 1 pigaa 0714092524mimi nahitaji flat screen TV.
nzuri ambayo ni HD za sifa nyingine
nina 300,000/=
Kweny tv kuwa na kingamuzi sijaelewa kwa tv smart android naomba maeelez mkuuNdio