Mgogo Vitani
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 492
- 867
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok kwa dar hiyo TCL smart napata kwa being ngapi?TCL Smart android 32" 400000
Star x double glass 270000
Boss hatuna
Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
** bei ngp pamoja na hiyo double glassOk kwa dar hiyo TCL smart napata kwa being ngapi?
Ok kwa dar hiyo TCL smart napata kwa being ngapi?
** bei ngp pamoja na hiyo double glass
Mm tv yangu imekufa kioo brand boss inch 49 naweza pata kioo? Km kipya haiwezekani(maana niliwahi ambiwa bora ninunue tv mpya) naomba msaada wazee wa used na mafundi!
Dah..huu ndio ukweli lakini najikuta tu sitaki kukubaliana nao watu wengi wamenishauri hivyo sasa hii niifanyie nn tena?Kwa ushauri tu jipange utafute tv mpya
Dah..huu ndio ukweli lakini najikuta tu sitaki kukubaliana nao watu wengi wamenishauri hivyo sasa hii niifanyie nn tena?
Dah..huu ndio ukweli lakini najikuta tu sitaki kukubaliana nao watu wengi wamenishauri hivyo sasa hii niifanyie nn tena?
Na nyengn mkuu kama hometheater, electric oven, electric kettles, Ricecooker, blenda, pasi, deki za dvd na vinginevo
Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
Pasi aina ya Philips sh ngap mkuu...na Brenda nazo Bei inaenda ngap na aina gani?
Philips pasi 35000
Blenda kuna kuna za za 45000(bish, jec na zaiba?
Singsung jagi la udongo 80000
Kenwood ya 1.5liter 90000
Moulinex 140000
Na Philips blenda 120000
HaaaaaahaaaaaAhahaaa....mkuu kauze tu Kama scrap kwa mafundi,upate ata pesa ya soda.
Hii ngapi nduguMkuu hisense smart 43" zimepatikana,
Zipo pisi 5 tu, kama uko tayar now wahi mapemaView attachment 1473289
Star x 32" Iringa
Sony smart Android 49" Dar
Sony hometheater 1000W Morogoro
Za wadau tofauti katika maeneo tofauti ya nchi siku ya leo
Niwashkuru sna kwa support yenu
Allah awabariki sanaView attachment 1475571View attachment 1475573View attachment 1475574View attachment 1475577View attachment 1475578
Boss tcl 55” smart tv unauzaje