Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Mm tv yangu imekufa kioo brand boss inch 49 naweza pata kioo? Km kipya haiwezekani(maana niliwahi ambiwa bora ninunue tv mpya) naomba msaada wazee wa used na mafundi!
 
Kwa ushauri tu jipange utafute tv mpya
Mm tv yangu imekufa kioo brand boss inch 49 naweza pata kioo? Km kipya haiwezekani(maana niliwahi ambiwa bora ninunue tv mpya) naomba msaada wazee wa used na mafundi!
 
Philips pasi 35000
Blenda kuna kuna za za 45000(bish, jec na zaiba?
Singsung jagi la udongo 80000
Kenwood ya 1.5liter 90000
Moulinex 140000
Na Philips blenda 120000
Pasi aina ya Philips sh ngap mkuu...na Brenda nazo Bei inaenda ngap na aina gani?
 
Philips pasi 35000
Blenda kuna kuna za za 45000(bish, jec na zaiba?
Singsung jagi la udongo 80000
Kenwood ya 1.5liter 90000
Moulinex 140000
Na Philips blenda 120000

Unapatkana wapi maeneo gan kwa apa dar..
 
Star x 32" Iringa
Sony smart Android 49" Dar
Sony hometheater 1000W Morogoro
Za wadau tofauti katika maeneo tofauti ya nchi siku ya leo
Niwashkuru sna kwa support yenu
Allah awabariki sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…