HABARI.....?
wanahitajika madalali tufanye biashara ya magodoro moja kwa moja kutoka kiwandani ,,na mchakato wao mkubwa utakuwa ni kuleta wateja wa jumla na reja reja,,, na watapata malipo kama kawaida punde wanapoleta mteja.,dalali utapata 20% kutoka kwenye 20% ya faida inayopatikana kwenye kampuni
Kwa mawasiliano zaidi 0692449416
kiwanda kipo Dar es Salaam ila huduma inapatikana Tanzania nzima hivyo hii fursa ni kwa yeyote aliye ndani ya Tanzania.
PITIA DARASA KIDOGO ILI UWEZE KUJUA BRAND YETU
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Habari wanajamvi...?
kampuni ya OCEANKISS LTD, inachukua fursa ya kuwakaribisha wateja wote muweze kujipatia magodoro bora kabisa kwa gharama nzuri yenye unafuu na hii ni kwa watu wote mlio ndani ya Tanzania na nnje vile vile kwa wale mnaohitaji kuwa maagent wa godoro zetu huu ni wakati wenu tunawakaribisha sana bila kusahau wale wa reje reja : kwa mawadiliano zaidi piga 0692449416
AINA YA GODORO TULIZO NAZO
1.Oceankiss
2.Okle
3.Relax
4.Fahari
1.OCEANKISS
hili ni godoro lenye high density yaani ujazo wa kiwango cha juu zaidi kiujazo na ubora na denisity yake ni 23density
2.OKLE
hili nalo ni godoro lenye high density yaani ujazo wa kiwango cha juu zaidi kiujazo na ubora na denisity yake ni 23density
3.RELAX
hili ni godoro lenye ubora wa kiwango cha pili yaani ujazo wa kiwango chake kiujazo na ubora denisity yake ni 20density
4.FAHARI
hili ni godoro la standard kabisa na ujazo wake kiubora ni 16density
5.SPRING MATTRESS
hizi ni zile godoro za mneso mneso
hivyo kwa wale wateja wanaopenda godoro za mneso yaani spring mattress zipo
VITU VYA ZIADA KUFAHAMU KWA MTEJA
kupitia majina ya brand za godoro zetu nilizo orodhesha hapo juu....godoro zimejigawa sehemu tano
1.WOC
2.WC
3.TX
4.VQ
5.MEDICAL MATTRESS
1.WOC
ni godoro lisilo na cover kwa lugha nyeoesi godoro lililo uchi
2.WC
hili ni godoro lenye vover
3.TX
hili ni godoro lenye upindo pembeni yaani linakuwa limenkshiwa kwa upimdo pembe zote za godoro
4.VQ
hil ni godoro lililozungukwa na upindo pembeni vile vile linakuwa limenkshiwa katikati kwa kuwekwa vyumba vyumba mfano wa kashata
5.MEDICAL MATTRESS
kwa wale wenye matatizo ya mgongo hili ndiyo linafaa na hutumika kama dawa ya mgingo wako..
bila kusahau kwa wale mafundi sofa pia godoro zenu zipo
wote mnakaribishwa karibuni sana
Mawasiliano piga 0692449416