Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Kutoka Posta Zanzibar hadi Moshi Kilimanjaro
Ni Samsung smart 4k 55" kwa mdau Moshi
Ahsante watu wa kaskazini kwa kuendelea kutuamini
Bado tunaendelea kukupa kilichobora kwa gharama nafuu kabisa
0777650286
 
Posta wamesafirisha kwa Bei gani had Moshi,?
Gharama za usafiri ni za Nani,?
Unapewa tracking number,?
Inachukua siku ngapi mzigo kufika?
Inakupa Kodi unapochukua mzgo au inakuwaje?
 
Tcl 55" to Iringa
Hisense 32" to Singida
Ahsanteni sana
Tunaendelea kukupatia kilicho bora kwa gharama nafuu popote ulipo
Karibuni sanaView attachment 1466376View attachment 1466377
Lg 55"'oled bei gani?
Haaaaaahaaaaa
Ahahaaa....mkuu kauze tu Kama scrap kwa mafundi,upate ata pesa ya soda.
 
Hiyo tv uzito wake ni 25kg, EMS mzigo wenye uzito kama huo ni 150000 popote Tanzania(ukijumlisha na gharam za kuifunga kama hivo)

Gharama za kusafirisha ni za mteja, lkn pia kwa tv kubwa kama hiyo tunakuchangia pia na sisi

Tracking namba lazima upewe, kwa sababu kule ukienda kupokea mara nyengn hupewi kama huna namba ya mzigo

Siku moja tu, ya 2 unaipokea, manake kama nikiituma leo asubihi kesho yake mapema unaipokea
Posta wamesafirisha kwa Bei gani had Moshi,?
Gharama za usafiri ni za Nani,?
Unapewa tracking number,?
Inachukua siku ngapi mzigo kufika?
Inakupa Kodi unapochukua mzgo au inakuwaje?
Hulipi kodi.yoyote ukienda kupokea
 
Sawa mkuu
 
Star x smart 4k Android tv 55" to USA RIVER Arusha
TCL Smart android tv 32" Morogoro
Mapema leo zimeondoka Zanzibar kuelekea maeneo husika
Ahsanteni sana
0777650286/0718919725
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…