Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

mwenye ako na used LG UM7340PVA inch 65, au iwe iliyoharibika vitu vya ndani lakini kioo kizima tuwasiliane PM
 
HOT DEAL[emoji91][emoji91][emoji91]
Hisense 32inch. For sale

SIFA

-Hd picture (LED display) backlight technology
-king'amuzi Cha ndani(DVB-T2)
-2X ports za HDMI
-1 port ya USB
-option ya ku update firmware
-Full viewing Angle.
-MPYA na risiti unapewa..
Call .0768540772
Mbeya Town.

Kutoka laki 390 mpaka Laki 340 tu
 
Bei gn nch32?
 

Nipe namba yako ya whatsapp mkuu tuyajenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…