Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
TCL led inch 43 unauzaje bro pamoja na usafiri , niko Dar .
680000
Samahani bro unaweza nitajia bei za Tv led za inchi 43 za kampuni tofautitofauti?
Zipo lg 700000
Star x 530000
MtendeniHii bei ni kwa Mtendeni au Dar!
Mtendeni
Hapo sawa, ukiweka bei za Dar nistue mkuu!
MPYAAA NIPE HELA .. SAMSUNG SMART CRYSTAL UHD 4K CLASS , SERIES 7 TU7100 . Tsh1,000,000 Tu .. piga 0754849763 DARES SALAAM, TEMEKE.View attachment 1654442
Naset vp hapa manake baada ya kusoma tu hapa nimejaribu lkn sikuona huu mfumoAzam mfumo wao ni wa HEVC 265, na ni 4k. Kama TV yako ni ya kawaida haiwezi.
506,594, ndiyo frequency za Azam lakini sasa free channel zimefungwa.Naset vp hapa manake baada ya kusoma tu hapa nimejaribu lkn sikuona huu mfumo
Ndugu , si kila kitu ni cha wizi. Heshimu tu hutapungukiwa.Itakuwa ya wizi hii.
Inches 43 lg smart bei gan.plus kodi?
Inches 43 lg smart bei gan.plus kodi?
Doh hayaHatuna kwa sasa
Mkuu 43" kwa bei hiyo ni ghali sana, inakuaje ya wizi hapo, ulitakiwa iuzwe bei gani, me nilikua nazo nilikua nauza 850000 tuItakuwa ya wizi hii.
Samsung?Tcl smart 400000
Star x hatuna
Samsung?
Nahitaji Sony Bravia UHD 4K 55”, bei gani ikifika Dathramu!