Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Abuu nipe bei ya kati ya hizi
Tcl android tv 32"
Hisense smart 32"

Mpaka Sumbawanga Gharama yako ikoje?
 

Attachments

  • IMG-20201016-WA0000.jpg
    IMG-20201016-WA0000.jpg
    27.6 KB · Views: 4
  • 20201120_092033.jpg
    20201120_092033.jpg
    33.3 KB · Views: 4
MNADA SMART

[emoji3591] Pata pasi mpya zenye warrant ya mwaka mzima kwa bei ya shilingi 25000 tu

[emoji3591]pata Hita(jagi la umeme) mpya zenye warrant ya mwaka mzima kwa shilingi 20000 tu!

[emoji3591]Pia tunauza jumla bei kwa bei punguzo

KUMBUKA; bidhaa zote zina warrant ya mwaka mzima na watu wa dar es salaam unaletewa mpka ulipo!!!! Mikoani pia tunatuma bila wasiwasi karibuni sana
0672904720(whatsap &call)
 
Nna 600,000/ siwezi kupata Hisense smart tv 43" nipo Dar
 
Natafuta kioo cha LG UM7340PVA inch 65 ya mwaka 2019, mkuu Abdulwahid unaweza nifanyia wepesi kwenye hili?
 
HOMEBASE SMART TV INCH 43 FULL HD kwa 610,000
INATUMIA:
HDMI PORTS 2
USB PORTS 2
VGA
AUDIO INPUT
INAINGIA:
You Tube
Netflix

Location: UBUNGO EXTERNAL, DAR ES SALAAM

NIPIGIE AU SMS 0744033555
 

Attachments

  • IMG-20210105-WA0011.jpg
    IMG-20210105-WA0011.jpg
    32.9 KB · Views: 5
  • IMG-20210105-WA0013.jpg
    IMG-20210105-WA0013.jpg
    65.8 KB · Views: 5
  • IMG-20210105-WA0015.jpg
    IMG-20210105-WA0015.jpg
    38.4 KB · Views: 5
  • IMG-20210105-WA0012.jpg
    IMG-20210105-WA0012.jpg
    39.9 KB · Views: 5
  • IMG-20210105-WA0014.jpg
    IMG-20210105-WA0014.jpg
    48.9 KB · Views: 5
Samsung inch 32 smart tv.
Bei; Tsh 290,000
Location: Iringa
Kama uko Dar unasafirishiwa free halafu ndio unakuja kulipia.
Nipigie 0744033555
 

Attachments

  • IMG-20210107-WA0009.jpg
    IMG-20210107-WA0009.jpg
    42.9 KB · Views: 5
  • IMG-20210107-WA0010.jpg
    IMG-20210107-WA0010.jpg
    44 KB · Views: 4
hisence inch 32 HD imetumika mwezi na ina warranty 370K TU NAUZA NPO DAR YOMBO 0719900680
 
Hii hapa smart tv 43" aina ya TCL.

Vifaa vyake vipo

Bei Tshs 580,000/=

Ipo Airport, Dar es salaam.

Wahi mapema hazinaga kusubiri

Piga simu 0744033555

Ofa: natoa elfu 20 ikusaidie usafiri

Nb: picha zawez zisionekane vizuri. Njoo whatsapp nikutumie upya
 

Attachments

  • IMG-20210112-WA0014.jpg
    IMG-20210112-WA0014.jpg
    27.7 KB · Views: 4
  • IMG-20210112-WA0013.jpg
    IMG-20210112-WA0013.jpg
    23 KB · Views: 4
  • IMG-20210112-WA0012.jpg
    IMG-20210112-WA0012.jpg
    23.9 KB · Views: 4
Back
Top Bottom