Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
1800000
Hatari hii mkuu, kwani tuna ugomvi? Unachanganya bei ya 65” Mzee baba!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1800000
Hatari hii mkuu, kwani tuna ugomvi?
Hahahhahah
Umenichanganyia bei ya 65” ili kuninyoosha, mkuu mimi ni yatima ujue!
Hapo mkuu itabidi uje uichukulie ZanzibarHebu basi nitafutie Samsung Crystal UHD 4K 55”, punguza hasira mimi ndugu yako nimejichanga miaka kuifikia uamuzi huu... bajeti isizidi 1.4M.
Hapo mkuu itabidi uje uichukulie Zanzibar
Chukua TV hiyo nzuri mkuu 🤔Umenichanganyia bei ya 65” ili kuninyoosha, mkuu mimi ni yatima ujue!
Chukua TV hiyo nzuri mkuu [emoji848]
Ndiyo ni brand nzuri pia zinaaminika kwa ubora+durabilitySony 55”?
Ndiyo ni brand nzuri pia zinaaminika kwa ubora+durability
Android?1800000
Kodi kwa tv kama hiyo pale baggage room uwa inafika shilingi ngapi?Hapo mkuu itabidi uje uichukulie Zanzibar
Android?
Android inafika sh ngapi?Hapana
Kodi kwa tv kama hiyo pale baggage room uwa inafika shilingi ngapi?
Android inafika sh ngapi?
Iwapo nakuja mwenyewe mtendeni,kwenye boat itanibidi nilipie au inakua free?Kwakwel cjui lkn mm agent hua nampa 200000 kwa kazi yote kuanzia kuisafirisha mpaka kuitoa
Ulikuwa hujaelewa nilikuwa namwambia huyo Mgjd hapo juuMkuu 43" kwa bei hiyo ni ghali sana, inakuaje ya wizi hapo, ulitakiwa iuzwe bei gani, me nilikua nazo nilikua nauza 850000 tu