Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
Asante mkuu, inshàa Allah zikiingia nitakupa kama offer tu, kila la heriMkuu shukrani sana..Mzigo nishaupata kuna vijana wangu walikuja officine kwako last week ijumaa ukawahuduhumia fresh wamesharudi dar na kunikabidhi nimeutest nimeridhika now...!! Wall mount zake vp...nasikia uliishiwa so zikiingia naomba tuwasiliane nahitaji nayo!!